Nitafanyaje kufufua akaunti yangu?
Namna ya kuanza
Jaza fomu hii hapa chini na tutawasiliana na wewe au tembelea tawi lolote la NBC karibu nawe
Utahitajika kuja na yafuatayo:
- Kitambulisho kimoja kati ya hivi:
o Pasi ya kusafiria
o Leseni ya udereva
o Kitambulisho cha taifa
o Kitambulisho cha mpiga kura - Barua ya utambulisho, mojawapo kati ya hizi:
o Kutoka kwa mwajiri au
o Kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa - Picha moja ya rangi (passport Size)
Faida
- Ni BURE Kabisa. Hautalipia gharama za kufufua akaunti
- Tumefuta malimbikizo ya makato yote ya mwezi
- Kadi yako ya NBC visa inakuwezesha kufanya malipo mtandaoni au kutumia mashine ya POS, kutoa fedha kwenye ATM yoyote inayokubali kadi za Visa popote duniani.
- Utaweza kulipia bili, kutuma pesa na mengine mengi kupitia NBC Mobile
Taarifa muhimu
Utaweza kutumia akaunti yako popote na wakati wowote kwa kupitia:
- NBC Mobile Banking
- NBC Online Banking
- Mawakala wa NBC
- ATM za NBC zinazopokea fedha
Unahitaji msaada au maelezo zaidi?
Tupigie:
+255 768 984 011 | +255 222 193 000 | +255 225 511 000 | 0800711177 (free)
Barua pepe: