Tafadhali pakua hapa fomu ya madai, ijaze na kuituma kwetu ikiwa na nyaraka zote muhimu kama inavyooneshwa hapa chini.
Unapaswa kuleta nini unapowasilisha madai
Gari Langu
Kwa Bima ya Gari
- Fomu ya madai iliyojazwa
- Muhtasari wa polisi
- Nakala ya leseni ya udereva
- Ripoti ya Uchunguzi/Tathmini ya ajali
- Nyaraka zinazosaidia kujua kiasi unachodai kama vile ankara ya madai na makadirio ya gharama kutoka gereji
- Kwenye mazingira ambapo gari limepotea/limeibiwa: Nyaraka za umiliki, kama vile kitabu cha ratiba ya safari/hati ya kulisafirishia/funguo za gari/cheti cha bima
- Sera ya kulipia gharama za madai, pale inapolazimu kufanya hivyo
Nyumba Yangu
Bima ya Nyumba
- Fomu ya madai iliyojazwa
- Muhtasari wa polisi unaoonesha wizi au moto uliotokea
- Maelezo ya mashahidi au maelezo ya mwenye bima akielezea tukio hilo
- Nyaraka zinazosaidia kujua kiasi unachodai au uwepo wa nyaraka kama vile ankara na risiti za malipo
Maisha Yangu
Viambatisho kwenye madai ya Bima hii
- Fomu ya madai iliyojazwa
- Nakala halisi ya hati ya kifo
- Nakala halisi hati ya mazishi
- Nakala ya Kadi ya ATM
Fomu ya Madai ya Mwisho
Fomu ya Madai ya Bima ya Maisha
Bima ya Huduma ya Elimu
- Fomu ya madai iliyojazwa
- Nakala halisi ya hati ya kifo
- Nakala halisi hati ya kibali cha mazishi
- Ripoti ya polisi (kama ni ajali)
- Taarifa ya matibabu (kwenye ugonjwa)
- Nakala ya kitambulisho
Tafadhali wasiliana na tawi lililopo karibu yako ili kupata fomu ya madai
Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?
Tupigie:
+255 76 898 4000 | +255 22 219 3000 | +255 22 551 1000 | 0800711177 (free)
Tuandikie baruapepe: