Mkataba wa Ubadilishaji Fedha unahusiana na Sharia’ah-mkataba kati yako na NBC unaofuata sheria ya Murahaba. Kiwango cha kubadilisha fedha huwekwa baada ya kununu au kuuza fedha moja kwa nyingine, ili iwasilishwe baadae kwa tarehe iliyopangwa. Baada ya kiwango cha kubadilisha kinakuwa kimewekwa wakati wa kuingia mkataba, fedha inakwenda moja kwa moja kwa mhusika tarehe hiyo inapofika.
Manufaa ya Mkataba wa La Riba wa Ubadilishaji Fedha
Ninawezaje kupata Mkataba wa Ubadilishaji Fedha?
Namna ya kuanza
Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lililopo jirani yako.
Manufaa
- Ni Shari’ah tu-huduma inayofuata sheria ya murahaba
- Inakusaidia kuachana na hatari zinazoweza kutokea katika ubadilishaji fedha
- Ni ahadi ya makubaliano ya pamoja
Taarifa muhimu
- Kiwango cha ubadilishaji huwekwa wakati wa kuingia mkataba
- Fedha inakwenda moja kwa moja kwa mhusika baada ya tarehe ya mkataba kufika
Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?
Tupigie:
+255 22 219 3000 | 0800711177 (free)
Tuandikie B-pepe: