Turuhusu tukuwezeshe katika shughuli zako za kibishara: Benki ya NBC hununua bidhaa, kama vile mitambo au malighafi kwa niaba yako na kukupatia faida.
Manufaa ya Mkopo wa La Riba wa Biashara na Wakalah LC
Ninaupataje?
Namna ya kuanza
Jaza fomu hii nasi tutawasiliana na wewe, au tembelea tawi lililopo jirani yako.
Unapaswa kuwa na nini unapoomba
- Maelezo ya kampuni
- Ushahidi wa ulipaji kodi kwa TIN/VAT
- Leseni ya biashara
- Taarifa za benki
- Akaunti ya Kusimamia fedha zako
- Taarifa za fedha zilizokaguliwa
- Memoranda na Sheria za Kampuni
- Mpango wa Biashara
- Uthibitisho wa malipo ya kodi ya ardhi
- Welekeo wa mtiririko wa fedha
Manufaa
- Mkopo unaofuata sheriaya Murabaha
- Shari’ah-unafuata sheria ya Murahaba
- Una faida ya mkopo kubwa
Taarifa muhimu
- Unaweza kutumika kununua bidhaa za ndani na nje
- Unahitaji dhamana ya usalama wa mkopo
- Ni kwa ajili ya biashara na mashirika yaliyoendelea na kazi
Je, unahitaji taarifa au msaada zaidi?
Tupigie:
+255 22 219 3000 | 0800711177 (free)
Tuandikie baruapepe: