Tuna huduma za kudhibiti vihatarishi ambazo hukusaidia kutathmini na kuepuka vihatarishi vinavyotokana na kubadilika kwa viwango vya ubadilishaji wa Fedha za Kigeni, viwango vya riba, na bei za bidhaa.
Udhibiti wa vihatarishi vya huduma za kubadili Fedha za Kigeni umerahisishwa
Manufaa
- Inakupa uhakika kwenye mzunguko wa fedha zako
- Inasaidia kupunguza maumivu, pindi kiwango cha riba kinapopanda
- Inakusaidia kujua mabadiliko kwenye bei za bidhaa
Unahitaji maelezo zaidi au msaada?
Tupigie:
+255 07689 80500
Tuandikie baruapepe: