Tunakupatia mkopo wa huu ili usaidie kushughulikia dharura za kampuni yako au kupanua majukumu ya kibiashara.
Tunatoa huduma ya mikopo ya kifedha kwa sekta zifuatazo
Huduma zetu za mikopo ni kwa ajili ya sekta zifuatazo:
- Sekta ya mawasiliano, habari na teknolojia
- Maliasili
- Nishati na umeme