Akaunti ya akiba inayohamishika ni akaunti ya uwekezaji inayokupa fursa ya kuweka fedha na kupata faida.
Akaunti ya akiba inayohamishika inakupatia faida Zaidi ya fedha
Manufaa ya Akaunti ya akiba inayohamishika ni:
- Riba nafuu ya mikopo
- Faida unayolipwa unaweza kuihamishia kwenye akaunti yako nyingine
- Urahisi wa kufungua na kufunga akaunti
- Utapokea Faida yako kila mwezi
- Makubaliano ya kiwango cha faida yanawezakufanyika kulingana na kiasi cha fedha kilichopo kwenye akaunti yako
Unahitaji maelezo zaidi au msaada?
Tupigie:
+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191
Tuandikie baruapepe: