Ikinge biashara yako dhidi ya hasara zitokanazo na majanga ya moto, wizi, uharibifu wa mali au akiba, majeraha kwa wafanyakazi au matatizo mengine yoyote.
Zikinge mali zako zote dhidi ya majanga na uharibifu
NBC inatoa bima kwa ajili ya mali za biashara yako dhidi ya majanga au uharibifu unatoweza kusababishwa na majanga mbalimbali.
Usiruhusu uharibifu au kuzima kwa umeme uathiri biashara yako
Tutakupatia bima dhidi ya uharibifu au kuzima kwa mtambo au mashine, ambako kunaweza kuathiri biashara yako kwa muda murefu na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha.
Pata bima dhidi ya madeni unayodaiwa na watu wengine
Kutokana na hukumu zinazotolewa kwenye kesi za jinai siku hizi, mtu hawezi kuendesha biashara bila kuwa na bima nzuri ya madeni.
Vutia wafanyakazi wenye sifa kwa kuwa na bima ya wafanyakazi
Wape usalama wanaouhitaji wafanyakazi wako kwa kuwakatia bima ambayo itawasaidia mambo yanapoenda vibaya.
Ni bima mbalimbali kwa ajili ya matukio tofauti tofauti
Tunakupa bima dhidi ya kila tukio, ili kukusaidia kuwa na amani wakati wote uwapo kwenye biashara zako.
Tunakurahisishia namna ya kuwasilisha madai
Pakua fomu kwenye website hii, ijaze na iwasilishe NBC ndani ya siku 7 baada ya tukio, ukiambatisha nyaraka zote muhimu na maelezo yanayohitajika, nasi tutaifanyia kazi mara moja.
Vifaa vya umeme
- Muhtasari wa polisi unaoeleza kuhusu wizi au moto
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya upotevu uliotokea
- Ripoti ya kitaalamu kwenye mazingira ya uharibifu wa vifaa vya umeme
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile akanara na risiti mbalimbali
- Nyaraka zinazoonesha kuwapo kwa kitu hicho, kama vile risiti ya manunuzi
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Hatari zote kwa Wakandarasi

Ajali kwa wafanyakazi
- Cheti cha matibabu
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya tukio
- Muhtasari wa polisi kwa matuko ya ajali ya barabarani au mauaji
- Cheti cha kifo kwa matukio ya mauaji
- Stakabadhi ya malipo kwa wanaodai ndani ya mwezi mmoja kabla ya ajali
- Stakabadhi za gharama za hospitali na matibabu kwa ujumla
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Moto na majanga kama haya
- Muhtasari wa polisi
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya upotevu uliotokea
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile akanara na risiti mbalimbali
Ujambazi

- Picha ya uthibitisho kuvunjiwa pale inapolazimu
Hatari zote za biashara (vifaa vya ofisi/biashara)
- Muhtasari wa polisi unaoeleza kuhusu wizi au moto
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya upotevu uliotokea
- Ripoti ya kitaalamu kwenye mazingira ya uharibifu wa vifaa vya umeme
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile akanara na risiti mbalimbali
- Nyaraka zinazoonesha kuwapo kwa kitu hicho, kama vile risiti ya manunuzi
Bidhaa zilisopo safarini
- Muhtasari wa polisi
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya upotevu uliotokea
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile ankara na risiti ya manunuzi
- Kwa ajili ya bidhaa za mtu mwingine: waraka wa madai, waraka wa deni, bili, mkataba wa kumsafirishia biadhaa zake na waraka wa kupakia bidhaa
Fedha
- Muhtasari wa polisi
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya upotevu uliotokea
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile ankara, risiti na hati ya mauzo
Vifaa vya uhandisi
- Ripoti ya kitaalamu
- Kumbukumbu ya matengenezo kutoka kwenye kampuni ya matengenezo
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile ankara na risiti
- Maelezo ya shahidi au maelezo ya mwenye bima yakibainisha mazingira ya upotevu uliotokea
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Dhamana ya Uaminifu
- Muhtasari wa polisi
- Maelezo ya kina kutoka kwa mteja wa bima yakieleza namna uhalifu ulivyotokea, namna walivyougundua pamoja na uhakiki na udhibiti uliokuwepo kabla ya upotevu kutokea
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, nyaraka za mauzo na ukaguzi wa mahesabu
- Nakala za hati za malipo ya wahalifu
- Hati ya kuachiwa huru kwa wahalifu
Madeni ya umma
- Maelezo ya kina kutoka kwa mteja wa bima yakieleza namna uharifu ulivyotokea
- Hati ya madai kutoka kwa mtu anayekudai
- Nyaraka zinazoonesha kiasi kinachodaiwa, kama vile ankara na risiti
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Fidia kwa wafanyakazi
- Maelezo ya kina kutoka kwa mteja wa bima yakieleza namna uhalifu ulivyotokea
- Muhtasari wa polisi kwa vitu kama ajali au kifo cha ajali ya barabarani
- Fomu za Ajira zinazotakiwa, kama vile LDI 306 & LDI 307 ‘A’
- Cheti cha kifo
- Stakabadhi za gharama za hospitali na matibabu kwa ujumla
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Madeni ya mwajiri
- Maelezo ya kina kutoka kwa mteja wa bima yakieleza namna upotevu ulivyotokea
- Maelezo ya polisi kwa ajali na vifo vya barabarani
- Cheti cha kifo kwa mambo kama hayo
- Hati ya madai / hati za mahakama lazima ziwasilishwe kwetu baada ya kupokelewa na kabla ya kuzijibu
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Kuharibika kwa mashine
- Barua ya taarifa ya uharibifu
- Muhtasari wa polisi
- Risiti/Ankara ya manunuzi
- Maelezo ya thamani yake
- Ripoti ya uchunguzi
- Ripoti ya mtaalamu
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Kuathiriwa kwa biashara
- Hati ya taarifa
- Muhtasari wa polisi
- Ripoti ya uchunguzi
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Bima ya safari za maji
- Hati ya taarifa
- Muhtasari wa polisi
Tafadhali wasiliana na tawi la NBC lililopa karibu yako ili kuwasilisha fomu ya madai.
Unahitaji maelezo zaidi au msaada?
Tupigie:
+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)
Tuandikie baruapepe: