Kama mwanachama wa NBC B-Club, utafurahia nafasi ya kutumia huduma anuwai za NBC na huduma nyingine za ongezeko la thamani. Yote yanalenga kusaidia biashara yako ikue.
Tuma maombi ya kujiunga na NBC B-Club na ufaidike zaidi
Manufaa ya NBC B- Club
Mwanachama wa NBC B-Club hupata faida zifuatazo:
- Huduma za kibenki kwenye matawi 50 na mashine za ATM zaidi ya 200
- Kuweka fedha kwenye akaunti yoyote ya NBC kupitia ATM zetu wakati wowote hata usiku wa manane
- Kufanya miamala kupitia kwa Wakala wa NBC, Huduma za NBC Online Banking na Mobile Banking
- Wanapata fursa ya kuhudumiwa katika Vituo vyetu vya Wateja Binafsi katika matawi yote ya NBC nchini
Hupata huduma za ongezeko la thamani zifuatazo:
- Semina zinazowakutanisha na Wafanyabiashara wengine kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni
- Safari za biashara za ndani, za kanda na za kimataifa
- Maonesho ya biashara ya ndani na ya nje ya nchi
- Mikutano ya wafanyabiashara
- Mafunzo ya biashara yanayotolewa na wabia wa NBC (wataalamu waliobobea kwenye biashara za kitaifa na za kimataifa, wataalamu wa Kodi na viwango vya bidhaa), TanTrade, TCCIA, TRA, TIC
Taarifa muhimu
- Kuna ada ya uanachama
- Punguzo la riba ya mikopo.
- Klabu iko wazi kwa ajili ya wateja wote wakubwa na wadogo
- Kupata huduma za Klabu ni kwa wanachama hai wa NBC B-Club tu (Wale waliolipa ada za uanachama)
Unahitaji maelezo au msaada zaidi?
Wasiliana nasi:
+255 768 984 000 | +255 22 219 9793 | +255 768 980 191 | 0800711177 (free)
Tuandikie: