Kama Mteja NBC Private Banking, tunahakikisha kuwa unapata huduma za kibenki kwa namna ya kipekee kulingana na hadhi yako. Tunao mameneja uhusiano wenye ujuzi na waliobobea kuhakikisha unapata huduma zote za kibenki unazohitaji.
Huduma mahususi kwa mahitaji yako ya kibenki
NBC Private Banking inakupa faida na huduma za kibenki za kipekee zilizobuniwa ili kukidhi mahitaji yako ya kibenki. Furahia huduma bora za benki pamoja uhusiano wa kipekee kupitia meneja uhusiano.
Tekeleza mipango yako ya kifedha sasa kupitia NBC
Akaunti ya NBC Private Banking hukupatia aina mbalimbali za mikopo kwa riba nafuu. Tupo tayari kukuhudumia wakati wowote.
Pata faida za kipekee kwa kuwa na Akaunti ya NBC Private Banking
Furahia huduma za kibenki za kipekee zilizobuniwa kwa ajili yako.
NBC inatambua mahitaji yako ya bima kwa ajili yako na mali zako
Kama mteja wetu wa thamani, utanufaika na huduma za bima tunazotoa. Karibu ulipie bima kwetu na ufurahie fidia kwa gharama nafuu.
Unahitaji maelezo au msaada zaidi?
Tupigie:
+255 76 898 4000 | +255 22 551 1000 | +255 22 219 3000 | 0800711177 (free)
Tuandikie Baruapepe: